TGNP Publications
WANAWAKE WALIOSHIKA USUKANI: Simulizi za Ujasiri, Uthubutu, na Mafanikio
Kitabu hiki kimejumuisha simulizi zinazowahusu Madiwani: Emmy Rajabu Kiula, Anna Laurent Mgela, na Elizabeth James Urio. Hizi ni simulizi zenye kuakisi dhana ya uongozi shirikishi na utumishi kwa kuzingatia mahitaji ya wanyonge, wakiwamo wanawake, vijana, na watu wanaoishi na ulemavu.
WANAWAKE WALIOSHIKA USUKANI: Simulizi zenye Hamasa Kuhusu Viongozi Mahiri Wanawake
Katika kitabu hiki utasoma hadithi za uongozi kutoka kwa wanawake wanne walioshika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika Halmashauri za Wilaya nchini Tanzania. Kingo Nassoro, Mary Kunambi, Anipher Kasimu Chiwile, Ndeshukurwa Akyoo Tungaraza, na Helgatiel Mchomvu.
WANAWAKE KWA WANAWAKE: Jinsi Wanawake Viongozi Wanawavyowasaidia Wenzao Kuwania Ngazi za Uongozi
Kitabu hiki kinajumuisha simulizi za viongozi wanawake wanne ambao wameonesha mchango wa kipekee katika kushawishi na kuhamasisha wanawake wengine kushiriki katika uongozi
ngazi mbalimbali: Suzana Mayoe, Teresia Mkami, Avelina Kyakwambala, na Josephine Genzabuke.