
Mabadiliko yanahitaji dhamira, ushirikiano na uwekezaji.
Kesho 4 February 2026, tunakutana katika Semina ya Jinsia na Maendeleo Kujadili (GDSS): “Kuelekea 2030: Hakuna mwisho wa ukeketaji bila ahadi endelevu na uwekezaji.” Karibu tuunganishe nguvu dhidi ya ukeketaji.








