+255 (754) 784-050
Call us
Mabibo, Dar es salaam
Ubungo
Call us
Ubungo

In the heart of Tanzania’s southern highlands, a transformative movement is taking root. Communities are finding new ways to build resilience in the face of climate change. Through the Her Resilience Our Planet Project, women, youth, and local leaders are strengthening food security, economic stability, and gender equality.

Jiunge nasi kwenye Semina ya Jinsia na Maendeleo (GDSS) chini ya mada: “Uelewa wa Kidigitali kwa Usalama na Kujiamini Mtandao.”Pamoja tunaweza kujenga mazingira salama ya kidigitali kwa wasichana na wanawake.

Kesho 4 February 2026, tunakutana katika Semina ya Jinsia na Maendeleo Kujadili (GDSS): “Kuelekea 2030: Hakuna mwisho wa ukeketaji bila ahadi endelevu na uwekezaji.” Karibu tuunganishe nguvu dhidi ya ukeketaji.