Tanzania Gender Networking Programme logo

+255 (754) 784-050

Call us

Mabibo, Dar es salaam

Ubungo

Pongezi kwa serikali kwa kuongeza likizo ya Uzazi kwa wafanyakazi watakaojifungua mtoto/watoto njiti kwa kuwapa siku za likizo ambazo hazitohesabiwa ndani ya likizo ya Uzazi ,yaani kipindi maalumu cha uangalizi wa mtoto/watoto

Pongezi kwa Serikali kwa kutangaza mabadiliko ya likizo za Uzazi kwa wafanyakazi watakaojifungua mtoto/watoto njiti

Scroll to Top