+255 (754) 784-050

Call us

Mabibo, Dar es salaam

Ubungo

ILANI YA UCHAGUZI YA WANAWAKE

Share This Post

Ilani hii inaendeleza madai ya wanawake watetezi wa haki za ushiriki katika uongozi wa kisiasa tangu tupate uhuru hadi leo. Ilani hii ni ya sita iliyobeba madai yetu rasmi tukiwa wadau na washiriki wakuu katika michakato mbalimbali ya uchaguzi. Ilani ya kwanza ilikuwa ya mwaka 2000 ikijulikana kama Ilani ya Wapigakura, ya pili ni ya mwaka 2005, ya tatu ni ya mwaka 2010, ya nne ni ya mwaka 2015 ya tano ni ya mwaka 2020. Maandalizi ya ilani zote sita yaliongozwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kupitia Mtandao wa Wanawake na Katiba, Uchaguzi na Uongozi unaoratibiwa na Mfuko wa Ufadhili wa Wanawake Tanzania (WFT_T) pamoja na mitandao mingine ya Tapo la Ukombozi wa Wanawake Kimapinduzi.

PAKUA ILANI

Subscribe To Our Newsletter

Get updates and learn from the best

More To Explore

Scroll to Top
Receive the latest news

Subscribe To Our Weekly Newsletter

Get notified about new articles